Saturday 30 May 2020

Derek Chauvin akutwa na kosa la kuua bila kukusudia

Image may contain: 1 person, standing and outdoor
Polisi ambaye alionekana kwenye video akiwa amemkanyaga kwa goti shingoni Mmarekani mweusi George Floyd, hadi kupelekea kifo chake, amekamatwa na kushtakiwa kwa mauaji na pia kwa kuua bila kukusudia “alimkanyaga kwa DK 8 na sekunde 46”

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!