Mamlaka ya Usalama wa Anga nchini Tanzania, imefuta safari za ndege zote za abiria za kimataifa na kuweka vikwazo zaidi kwa ndege maalum za mizigo zitakazoruhusiwa kutua . Hii ni hatua nyingine ya kupambana na Ugonjwa wa Covid-19.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment