skip to main |
skip to sidebar
Maambukizi ya virusi vya Corona nchini Tanzania yafikia 254 ni baada ya wagonjwa 84 kuongezeka.
Wizara ya Afya Tanzania imesema kuna wagonjwa wapya 84 wa corona wakiwemo 16 waliotolewa taarifa na Wizara ya Afya Zanzibar leo April 20,2020 na hii inafanya idadi ya Watu waliopata maambukizi ya corona Tanzania kufikia 254 kutoka idadi ya jana ya visa 170.
Kwa upande wa Tanzania Bara idadi ya wagonjwa wapya wa corona na mikoa wanayotoka; DSM(33), Arusha (4), Mbeya (3), Kilimanjaro(3), Pwani (3), Tanga (3), Manyara (2), Tabora (1), Dodoma (3), Ruvuma (2), Moro (2), Lindi(1), Mwanza (3), Mara (1), Mtwara (1), Kagera(1), Rukwa(2).
No comments:
Post a Comment