Wednesday, 25 March 2020
Ummy: Tumepokea msaada wa Jack MA
Waziri wa Afya Ummy Mwalim amesema tayari Tanzania imepokea msaada wa vifaa kinga vya kupambana na corona vilivyotolewa na Bilionea wa China Jack Ma na Alibaba Foundation, Ummy amemshukuru pia Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed ambaye amepewa jukumu la kusambaza vifaa hivyo Nchi zote Afrika.
MillardAyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment