Thursday 19 March 2020

CORONAVIRUS: MWANA FA NA MENEJA WA DIAMOND WAPATA MAAMBUKIZI

Image may contain: 2 people, people sitting and beard
Mwanamuziki Hamis Mwinjuma maarufu ‘MwanaFA’ ametangaza kuwa na maambukizi ya virusi hivyo leo


- Awali, Meneja wa Mwanamuziki Diamond Platnumz, Sallam S.K naye alitangaza kupata maambukizi ya virusi hivyo
- Mapema, Serikali ilitangaza kuwa idadi ya Wagonjwa imefikia 6 baada ya Wanaume wawili kuthibitika leo Jijini Dar

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!