
Rais wa Afrika Kusini Cryril Ramaphosa amethibitisha kuwa Mtu mmoja ambaye ameingia South Africa akitokea Italy amebainika kuwa na virusi vya corona na kusema hawana sababu ya kuficha kwani kutoa taarifa mapema kutasaidia Watu kuchukua tahadhari na kujikinga ili kuepuka virusi kusambaa.
MillardAyoUPDATES













No comments:
Post a Comment