Tuesday, 31 March 2020
Bibi afariki kwa Corona baada ya kukataa kuwekewa mashine ya kupumulia
Bi Suzanne Hoylaerts(90), raia wa Ubelgiji, amefariki dunia kwa maradhi yanayosababishwa na virus vya Corona, baada ya kukataa maendekezo ya madaktari kwamba awekewe mashine ya kupumulia.. Aliwaambia madaktari, "Wawekeeni vijana, wao ni wahitaji zaidi. Mimi nimemaliza maisha yangu. Katika umri huu nataka nini zaidi?"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment