Thursday 6 February 2020

Wanateseka kisa Matajiri-JPM


"Kuna msongamano kwenye magereza zetu, wengine kesi zao ni za kusingiziwa au wengine wako mahabusu wanateseka kwasababu ya Matajiri kusema ‘ nakukomesha utakaa mahabusu’, Wapelelezaji nao kila siku upelelezi unaendelea tena kwa makusudi msipotubu ufalme wa Mungu itakuwa vigumu kuuona”- JPM

"Ndani ya siku mbili tatu nitasaini hati ya kuwarudisha makwao wafungwa ambao ni raia wa kigeni, Wakimeo Raia wa Ethiopia 1415, hii itasaidia pia kupunguza msongamano kwenye Magereza zetu, naambiwa mahabusu ni wengi kuliko wafungwa"- JPM

“Kuna changamoto ya dhuluma kwa Wanawake hasa wajane na migogoro ya ardhi, sina hakika kama Mabaraza ya ardhi yanafanya kazi vizuri pengine yapo chini ya Wizara ya Ardhi, lakini wanapoharibu lawama zinarudi kwa Mahakama" - JPM

“Jaji Mkuu uangalie namna bora ya uendeshaji wa Mabaraza ya ardhi. Wakati nikiwa Waziri wa Ardhi nilishaandaa majina ya watendaji wa Mabaraza waliotakiwa wafukuzwe, inawezekana bado wapo huko” - JPM
#MillardAyoUPDATES

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!