Tuesday 4 February 2020

Wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Kakamega Kenya wamefariki Dunia, baada ya kukanyagana wakati wakielekea nyumbani.

No photo description available.
Wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Kakamega Kenya wamefariki Dunia, baada ya kukanyagana wakati wakielekea nyumbani.
Katika tukio hilo wanafunzi zaidi ya 50 wamejeruhiwa

No comments:

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!