Thursday 13 February 2020

Mtanzania, Dkt Constansia Buretta amehitimisha mafunzo ya miaka 5 ya Upsuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu (Neurosurgery),

Mtanzania, Dkt Constansia Buretta amehitimisha mafunzo ya miaka 5 ya Upsuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu (Neurosurgery), katika Chuo Kikuu cha Kagoshima, Japan. Hatua hii inafanya idadi ya madaktari wanawake wenye utalaamu huu (Neurosurgeons) Tanzania kufikia 4.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!