Tuesday 25 February 2020

Hivi ndivyo meli ya TITANIC inavyo onekana sasa baada ya kuzama na kuua mamia ya watu miaka 108 iliyo pita.

 
Baada ya kugonga mwamba na kuzama kwenye bahari ya Northern Atlantic kwa kina cha feet 12,500, Tarehe 15/4/1912 


Hata hivyo kwa sasa mabaki hayo yamekuwa ni moja ya sehemu ya utalii kwa wale wanao hitaji kuishuhudia meli hiyo.

Lakini pia kampuni ya Blue star line ili tangaza kwamba kwa sasa wapo kwenye mchakato wa kujenga meli mpya ambayo itaitwa TITANIC II , itakayo tarajiwa kufanya safari mwaka 2022 n, safari ambayo itakuwa sawa kabisa na safari ya TITANIC halisi ili kuwaenzi mamia ya watu walio poteza maisha karne moja iliyo pita walipozama na meli ya TITANIC.



No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!