Wednesday 15 January 2020

Mtaalamu wa kusaka na kushika nyoka amefariki Dunia baada ya kung'atwa na nyoka.


Mtaalamu wa kusaka na kushika nyoka wakiwa hai kisha kucheza nao kwenye maonesho ya sanaa James Paschal Mkazi wa Kilimani Mpanda, Katavi amefariki Dunia baada ya kung'atwa na nyoka.

"Marehemu alimviringisha nyoka shingoni, wakati anamshusha ili kumuhifadhi akamng'ata mkononi mara mbili hali yake ikabadilika tukamuwaisha Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi akafia hapo"- Jirani

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kilimani Florence Mbabule amesema walifanikiwa kumuua nyoka huyo baada ya kuingia ndani kwenye nyumba ya Marehemu na wamewaua nyoka wengine aliokuwa amewahifadhi kwenye ndoo.




Kwa Hisani ya MillardAyo.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!