Monday 30 December 2019

MAAFA YA MVUA: WATU WASOMBWA NA MAJI


Mawasiliano kati ya Mkoa wa Mbeya na Tabora yamekatika baada ya daraja la Mto Lupa linalounganisha Mji mdogo wa Makongorosi na Chunya Mjini kuvunjika na kusababisha baadhi ya wananchi waliojaribu kuvuka kwa miguu kupoteza maisha.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!