Sunday 8 December 2019

Kuelekea 9 December Picha za kumbukumbu enzi ya utawala wa wakoloni barani Afrika

Hizi ni baadhi ya sanamu zilizopo katika nyumba za kumbukumbu kuonyesha enzi za utawala wa wakoloni barani Afrika.
Tanganyika ilipata uhuru na kujitoa mikononi mwa wakoloni tarehe 9 December mwaka 1961. Chini ya uongozi wa Mwl.Julius Kambarage Nyerere
1964 Tanganyika na Zanzibar ziliungana kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


 




No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!