Tuesday 3 December 2019

Dsm yaongoza kwa Saratani ya Matiti

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani Ocean Road Dkt Mwaiselage amesema Mkoa wa DSM unaongoza kwa Saratani ya Matiti kutokana na Wanawake kuwa na uzito mkubwa na Watoto wachache “ukiwa na Watoto wengi wanasaidia kunyonya maziwa ya Mama na kupunguza chembechembe za Saratani”
_

“Saratani ya Matiti inashika kasi DSM na sababu kubwa ni vyanzo maeneo, Watu kutofanya mazoezi na kuwa na uzito mkubwa, vyakula na kutokuwa na Watoto wengi kwasababu Mwanamke anapaswa kuwa na Watoto wasiopungua Wanne” - Dkt Mwaiselage, Mkurugenzi Ocean Road


MILLARDAYO.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!