Saturday, 23 November 2019
lori laua mmoja na kujeruhi watano
Mtu mmoja anasadikiwa amefariki na wengine wa tano kujeruhiwa baada ya lori la mafuta lenye namba T416 AUD lililokuwa likitokea Ubungo kuelekea Mwenge, kuacha njia na kugonga watu waliokuwepo pembezoni mwa kituo cha Mlimani City wakifanya biashara zao, ambapo Majeruhi wamekimbizwa hospitali ya Mwananyamala kwa Matibabu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment