Monday, 18 November 2019

Kutoka kwa ZAMARADI MKETEMA

Image may contain: 8 people, people smiling
Account iko tayari na chochote utakachotuma kitaingia moja kwa moja kwenye account ya mtoto na majina yatakayotokea ni ya mtoto ambayo ni ANNA GABRIEL ZAMBI


Account Number ni 0152478061700
Shukran sana sana Benki ya CRDB kwa ushirikiano wenu mkubwa kwenye hili na flexibility ya hali ya juu mliyoionesha bila kusahau Branch Manager wa Mlimani City kwa kulishughulikia kwa upekee wa hali ya juu JUMAPILI ya leo
Kwa wanaohitaji kujua zaidi mtoto yuko kwenye mikono salama ya familia yake ambapo ataishi na Mama Mdogo kimalezi lakini hatuwezi kuwaacha peke yao, kumbuka huyu ni binti wa miaka 16 aliyepoteza BABA, MAMA, na WADOGO ZAKE WATATU kwa mara moja, hivyo tushirikiane kwa pamoja kumshika mkono, hiyo hela itaingia moja kwa moja kwenye ACCOUNT YAKE BINAFSI.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!