Friday 29 November 2019

HASSAN MWAKINYO 'AMEMDUNDA' MFILIPINO, ARNEL TINAMPAY

Mwakinyo ameshinda kwa pointi Tinampay kwa pointi baada ya pambano la raundi 10 kumalizika.

Jaji wa kwanza ametoa 97-93
Jaji wa pili ametoa 98-92
Jaji wa tatu ametoa 96-96
Asante sana Mwakinyo kwa kuipeperusha Bendera ya Tanzania

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!