Friday, 18 October 2019

Mungu ibaliki taifa stars mungu ibaliki tanzania!


Tanzania imefuzu fainali za CHAN 2020 nchini Cameroon baada ya kushinda 2-1 ugenini dhidi ya Sudan na kufanya jumla ya matokeo ya mechi mbili kuwa 2-2 huku Tanzania ikifaidika na magoli mawili ya ugenini. Hii ni mara ya pili Tanzania kufuzu fainali hizi ambapo mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2009 nchini Ivory Coast.
Sudan 1 - 2 Tanzania
Agg 2-2

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!