Siku yangu imeanza kwa kumtafutia sare ya shule kijana wangu niliyepewa kule kwa wafugaji, ameshaanza kujua Kiswahili, maandalizi ya kuanza darasa la kwanza.
Nimemwambia elimu haina umri. Nami nilianza kwa kuchelewa kama yeye baada ya kuchunga mifugo kambini kwa muda mrefu Sana.- Mbunge wa Iramba Magharibi Dk Mwigulu Nchemba.
No comments:
Post a Comment