Waathirika wengi wa ajali za barabarani hutaabika bila sababu, au hata kufa, kwenye eneo la ajali kwa sababu ya kukosekana kwa uangalizi wa kutosha. Mtu mwenye mafunzo ya Huduma ya Kwanza daima anaweza
kuzuia hali ya mtu aliyejeruhiwa kuwa mbaya na anaweza kuokoa maisha yao.
1. ZUIA MADHARA ZAIDI NA KUWA SALAMA ZAIDI.
Kwanza kabisa chunguza madhara yako, majeruhi na wengine. weka mazingira salama kabla ya kuwahudumia. chukua tahadhari usijeruhiwe
Kwa mfano, toa tahadhari na dhibiti magari yanayokuja kuzuia ajali nyingine. waombe watu wengine wakusaidie katika jambo hili. Iwapo kuna hatari ya moto, hakikisha hakuna mtu anayevuta sigara au kutumia kiberiti.

2. MATIBABU YA DHARURA
Kitu cha muhimu zaidi ni kuokoa maisha. Kumbuka “Dkt A.B.C. “ Hii inasimama kwa:
D = Danger (Hatari) kuna madhara yanayoendelea kwa majeruhi?
– Jaribu kuleta usalama. Watenganishe majeruhi na wale unaodhani
hawajajeruhiwa sana.
R = Response (Mwitikio) Kuna mwitikio wowote kutoka kwa majeruhi? – Angalia hali ya sauti inavyotoka
au mguso. Iwapo hakuna mwitikio chunguza njia ya hewa (koo).
A = Airway (Njia ya hewa) Je, njia ya hewa
(koo) haina kikwazo? Mlaze majeruhi chali,
Inua kichwa upande mmoja , halafu fungua
mdomo, angalia kuwa ulimi hauzibi koo na
tumia vidole vyako kutoa chochote kilichopo mdomoni (chakula, uchafu, meno bandia n.k.)
B = Breathing (Upumuaji) Je, majeruhi anapumua? – chunguza kwa kuweka sikio lako karibu na mdomo wa majeruhi kwa angalau sekunde 10 kusikiliza na kuhisi pumzi. Angalia kama kifua kinainuka na kushuka.
Iwapo hakuna pumzi, haraka haraka mpulizie
pumzi kwa kubana pua, mpumulie pumzi
zaidi majeruhi mpaka utakapomalizia pumzi
yako kwenye mapafu yake Endelea kufanya
hivyo.

3:PATA MSAADA
Msaada wa mtaalam lazima uitwe haraka iwezekanavyo, kwa kawaida kwa kupiga simu 112. Usijaribu kumuacha majeruhi peke yake, hivyo
ikiwezekana waombe wengine kupiga simu au kutafuta msaada na wakuarifu kuwa wamefanya hivyo. Siku hizi watu wengi wana simu za mkononi kwa hiyo kunaweza kusiwe na sababu ya kuondoka mahali pa tukio

4. KUWAONDOA MAJERUHI
Usimuondoe majeruhi yeyote isipokuwa kama ni lazima sana. Majeruhi walio kwenye gari bado wasiotolewe isipokuwa kama kuna hatari ya haraka ya moto, kudhurika zaidi, au ajali zaidi. Majeruhi wa kuvunjika
mifupa au wa uwezekano wa majeraha ya ndani au uti wa mgongo wasiondolewe isipokuwa kama ni muhimu kwa usalama wao. Iwapo majeruhi hawana fahamu lakini wanapumua na hawaonekani dhahiri kuumia vibaya, waweke kwenye mahali pa kupata nafuu (angalia chini) kuzuia matatizo ya upumuaji.

5. TIBA YA UVUJAJI DAMU NA MAJERAHA
Mtu anaweza kuvuja damu hadi kufa katika
muda wa dakika tano, hivyo ni muhimu
kujaribu na kuzuia upotevu wa damu nyingi.
Ikiwezekana, mlaze sehemu iliyonyooka.
Tafuta damu inakotokea. Halafu angalia kama
kuna chochote kwenye jeraha na kiondoe
kama ni rahisi kufanya hivyo. Iwapo kuna kitu
ndani ya jeraha kiache, na tumia msukumo
wa hewa karibu na kidonda.Kifunge jeraha vizuri kwa kubana, hasa ukitumia kitambaa chenye dawa
kutoka kwenye Kisanduku cha Huduma ya Kwanza au kitu kingine safi

6:WAHUDUMIE WAATHIRIKA WA MSHTUKO
Pia ni muhimu sana kutambua, kuzuia na kutibu dalili za mshituko, kwani huu unaweza kuleta madharamakubwa zaidi kuliko jeraha la awali. Dalili ni, baridi, kusawajika, kufifia kwa ngozi, upumuaji wa haraka au wa taratibu, homa; kupiga miayo au kushusha pumzi.

7. MWEKE MAJERUHI KATIKA MAZINGIRA MAZURI:
Haya ni mazingira mazuri kwa majeruhi kulala kiubavu, huzuia kukabwa na ndimi zao au kuzuia kutapika kama hawana fahamu. Kichwa kirudishwe nyuma kidogo, mkono wa chini uwe nje kwenye pembe sahihi (nyuzi 90), mkono wa juu uwe chini ya shavu, mguu wa chini unyooshwe nje, na mguu wa juu upinde
katika pembe sahihi.

KWA HISANI YA
No comments:
Post a Comment