Friday, 20 September 2019

Ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kuua


Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imempa hukumu ya kunyongwa hadi kufa Amanirabi Kalinga mwenye umri wa miaka 19 baada ya kumkuta na hatia ya kuua kwa kukusudia.
_


Aminarabi Kalinga amehukumiwa kwa kosa la kumuua na kumkata sehemu za siri Hezron Kalinga na kisha viungo vyake akavipeleka kwa mganga wa kienyeji anayetambulika kwa jina la Makamu ili amfanyie dawa (Ndagu)
_
Mahakama imesema mtuhumiwa alimkuta marehemu na wenzake wakichunga ng’ombe akamchukua na kumpeleka kichakani kisha kumuua na kumtupa.


KWA HISANI YA MILLARDAYO.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!