Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto imeongoza wadau mbalimbali katika zoezi la kuwaweka tayari watoa huduma wote wa afya kukabiliana na mgonjwa yeyote wa Ebola atakayeingia nchini.
Mkurugenzi Msaidizi Utafiti na Mipango Idara ya Menejimenti na Maafa Bashiru Taratibuamesema zoezi hilo la utayari ni endelevu na ili kudhibiti ugojwa wa Ebola na itasaidia kubaini mapungufu ya kuziba na kukabiliana na ugojwa huo kwa kuepuka maambukizi ya Ebola Kigoma na Tanzania kwa ujumla.
KWA HISANI YA MILLARDAYO:COM
No comments:
Post a Comment