Wednesday, 17 July 2019

Vifo vya Wanawake vinazidi kutishia amani!




Hivi ni nini kinapelekea wanaume kuwa wakatili kiasi hiki? mtu anaona kuua mwenzie ni kitu cha kawaida kabisa bila woga wala hofu ya mungu, watu kama hawa ni wengi tunaishi nao jamii zetu.
Adhabu kali itolewe ili iwe fundisho kwa wengine! 
Na sisi wanawake lazima tusome alama za nyakati" unaona mtu anatabia za kishenzi toka mwanzo wewe unaendelea kuvumilia sababu ya heshima ya kulinda ndoa, mwisho wa siku anajikuta anamadaraka hata ya kukutoa roho. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.



Hii chini ni kesi nyingine kama hiyo ya Mwanamke kuuawa kinyama!



No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!