Wednesday, 17 July 2019

KENYA: MUME AMNYOFOA MDOMO MKE WAKE


 Jackline Kerubo (39) mkazi wa Tanga Kona anauguza majeraha baaada ya mume wake kumnyofoa mdomo na sikio kwa kumtafuna kwa meno kufuatia ugomvi baina yao
 Jackline alitaka kwenda kuchuma mboga katika shamba la jirani yake lakini mume wake alimkataza na ndipo ulipozuka ugomvi kati yao
KWA HISANI YA JMF

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!