Anayemfahamu mtu huyu ni mgonjwa! yupo kituo cha Afya #Chalinze , alipata ajali akaumia sana sehemu za kichwa...haongei hafahamiki jina lake, wala sehemu aliyotoka! tunaomba mtusaidie kusambaza picha hii kwenye #Platform yoyote ili ndugu zake wapatikane, Endapo unamfahamu wasiliana na mganga mfawidhi chalinze, au Afisa ustawi wa jamii wilaya ya Chalinze kwa namba 0754012331 au 0785556605.
CHANZO: Facebook
No comments:
Post a Comment