Sunday 28 April 2019

Hivi mchicha kwa Kingereza unaitwaje!?


Image may contain: plant


Co
Write a comment...

    • Like
  • Michael Amon Mchicha kwa kiingereza unaitwa Amaranth ila kwa jina la kaitaalamu inaitwa Amaranthus spp. Ila wengine huita Chinese Spinach, spiny pigweed au Joseph’s coat.


  • Mary Joseph Mchiecher 😁😁😁 msinichoshe niachen
  • Alphan Peter 😁 Unasomea tourism miaka minne( 4)
    Unaenda field serengeti unaliwa na simba unakufa😭😭😭
  • Gabusa Mwizarubi CAG Amlipua Lugola,
    =================
    "Nimesikia Matusi dhidi yangu kutoka Bungeni, mimi ni muumini wa dini ya Mwenyezi Mungu nawashukuru sana, lakini jambo kubwa ambalo Mwenyezi Mungu amenitukunu katika maisha yangu ni kunipa hekima lakini pia amenipa akili, hivyo siwezi kujibizana na mtu yeyote mwenye akili ndogo na asiye na hekima" :Prof Mussa Assad
  • Sisy Ney Kimathi Ukikunja nne alafu huna hela miguu inauma kinyama,asikuambie mtu bn
  • Mack David Tz *Mzungu akienda kumuangalia mgonjwa hospital utasikia GET WELL😁😁😁😁😁😁😁 mbongo sasa utasikia HUU UGONJWA NDO ULIOMUUA JOJI*
    😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  • Mulldriq Alfaley Nmekaa zangu baa akaja mdada kwa tabasamu zuur kaka samahan upo pekeako na mm kwa tabasam nikamjibu ndio akanyanyua kiti akapeleka walipo wenzake dunia hii
  • Michael Lazassam Imagine umemsaidia msichana mzuri kubadilisha tairi ya gari yake. Siku nyingine unakutana nae unakosa story mpaka unamuuliza tairi linaendeleaje?😆
  • Selemani Bidida's Ndugu kama unanyonya maziwa ya mwanamke aliyetoa mimba tambua unakula mali za marehemu Huendi mbinguni
  • Juma Kidunda Ukitaka kujua watu wana nguvu nyng Duniani ww sukuma mlango wa chooni akiwa ndani!!!
  • Elvira Cornelius Kwa kimbunga kinacho tabiliwa. Unawashauli nn watu wembamba,, Kama mm Maana? tunaweza kupelekwa nchi za jiran bila paspot..
  • Peter Roshy Jr. Wale wenye vitambi vya kufutia simu tunakikao kesho...tufahamiane.
  • Nasrah Kitii Mumbi Wale tuliokuwa tunapiga kelele darasani gonga like twenzetu hhh
  • Ramadan Kavira Mademu ambao hawajui kupika wana mbwembwe hao, utamkuta jikoni kavaa na APRON kumbe Anachemsha maji...!!
  • Petro Chahe Hakuna mtu mwenye mbio duniani kama yule alotoka tu kupaka make up ghafla akaona mvua inakuja
  • King Paul _Mnashangaa kagere kukosa penati!_

    *Wakati kunawachezaji wa yanga wamekosa mishahara kwa miezi 6!!*
    See More
  • Emakulata Joseph Yani ukiwa na stress pitia comments za humu lazima ucheke na stress zote zitahama mana zitahis zimekosea njia
  • Abel Sizya Adam na Eva wangekua wachina wangeishiaga tu kumla yule nyoka wala zambi za admin kupost ujinga zisingekuepo
  • Love Lee Amarathus...sio kama najua ila naona watu wengi wamekoment ivyo na mie nimeiga jaman.....
  • Msechu Lucney Ni Tanzania pekee cku ya Happy birthday ukimuliza mtu umetiza miaka mingapi utasikia miaka kadhaa hivi kadha ni namba ngapi???
  • Hoseah Mattayan Hamkujua kilichotokea nimefanya utafiti kile kimbunga Kenneth kimekutana na kimbunga katalina kimetulia wameenda huko msumbiji honeymoon 😂
  • Mjukuu Wa Mkolokolo Muchicha kwa kengreza hunahitwa MIMOSAPODIKA kwa kizayansi ni SPINAL CORD.pia tunafundsha kusoma na kwandika
  • Vincent D Mzee Halafu akina dada muwe mnapost picha zenu full hadi chini... Wengine hatuvutiwi na Sura. 😂😂😂😂😂😂
  • Othman Jay Aly Ujue admini sio kwamba habari yako ya mchicha ndio utufanye tukusahau bado nakumbuka post yako yani umethubutu kutuambia wanaume tunableed
  • Elias Lariviere Makota Mchicha kwa kiswahili sasa toa m ibaki chicha hicho ni kihindi In English Checha
  • Charles D Hamza Cdh Ukiona mtu anauliza maswali hayo jua kapata kazi hoteli sasa anataka ajifunze kidogo
  • Patrick Akë Jr. Nipo K/koo hapa natafuta Mwanamke anaevaa baragashia, Mmh! Mtaalam kajua kunikomesha...
  • Abdulrahaman Feruzi Botanically there are 2 species of amaranth, red amaranthus and green amaranthus, mchicha mwekundu na wa kijani.
  • Proches Assenga Amaranthus species or pig weed
  • Jackson Barnaba Liponda Mchicha kwa kiingereza unaitwa karakana, kwa sababu ni vituo vinavyo karibiana kutokea Tazar😂😂😂
  • Jontas Venance Karoly Amaranthus,,,pia zipo aina nyingi kama mchicha pori Pig weed,,,kuna ule wenye miba Amaranthus Spinas.
  • Alex Richard Kwanza nikupongeze admini kwa kuleta post yenye manufaa kwa Taifa. Hongera sana. Mi nadhani itoshe tu kuitwa mboga
  • Eric Victus Massawe Kwa kidhungu tunaita water melon....kaka na ww hujaelewa dhumuni la jamaa aliyepoat naomba tujuane kwa like........
  • Gustavus Dammason hatujuiiii kwanza hilo swali sio la kizalendo kabisa yani....wewe ulitakiwa uulize kwa kisukuma, kipemba, kinyakyusa au kwa kizaramo unaitwaje 😎
  • Hamisi Kileo Ukitaka kujua nguvu ya warembo wa mkoa wa dar iko wapi nipale inapotokea uhaba wa daladala halafu ikatokea daladala yenye nafasi usipo angalia mwanaume unaweza ukabaki nje ya gari
  • Erico Erico Kitu Pig weed (Amarathus species)
    6
  • Kherish Rashid Wale wanao beep mpaka kwenye Whatsapp call kama mimi like tujuane
    5
  • Real Kazuvi Wale wenye magonjwa ya macho lkn wakikwichikwichi wanazima taa na wanaona pakuingiza ebu tuambieni huenda mnajua
    7
  • Marijani Abdarahamani Mpeta Yaani kwa kweli kiwango cha elimu kimeshuka mnoo nimesoma komenti kibaoo hamna aliejibu kiufasaha mhh yaani hata mi mwenyewe kwa kweli sijui najuagaa mchichaaa tuu
    6
  • Shaibu Luyaya Eatv wazungu hawana akili kama zenu mchicha hawauiti kwani wanajua haueezi kuja ila wanaenda kuukata wakapika wakala wakashiba wakatengeneza hizi sinu tunazotolea kucoment saa nyue uiteni hivyohivyo mfe na njaaa na ujinga wenu
    7
  • Musa Zacharia Kuna mtu ananisumbua hapa sijui ana tatizo gani? Eti anauliza ile habari ya uboho ilishia wapi nimeshindwa kumjibu maana hata Mimi nina hamu sana ya kujua hii habari za uboho
    6
  • Daniella Daniel Navyo jua mchicha ipo ya aina zaidi ya mbili but ninalojua ni Amaranthus
    6
  • Hassan Lumato (Pig weed)Amaranth species
    5
  • Fraviana Boke Unaniuliza kingeleza umenisomesha wewe adimin unatokea nchi gani et unajuwa kabisa TZ kzungu kilikuja na meli alafu tunaaibishana bure acha zako wewe
    4
  • Amos Bampema Unaitwa mchicha kwasababu haupo wingereza kwahyo waingereza nao wanaujua kwa jina letu la mchicha hii ni sawa na ugali nao unaitwa ugali tu
    3
  • Sophia Sophia Nawazoom wale mnaosubiri mtu ajibu nanyie mjibu hahahahahaha naona kila mtu ( Amarathus species
    5
  • Syperatus Kalashani Sebastian Baada ya vipimo vya kisayansi na uchunguzi wa kina kufanyika katika baadhi ya vyuo vikuu humu dunian, Hatimae imegunduliwa kuwa #Yuda Escariot alikuwa mzawa wa tanzania, ila sijui anatokea mkoa gan ila kama yupo anaejua atusaidie?
    3
  • Sanyu LA Urio Amarathus species(might be wrong spelled) but it is AMARATHUS
    3
  • Dennis Joseph Mchicha unaitwa #Amaranth wataalamu huwa tunajiongeza kuuita amaranthus spp
    3
  • Ngalula Masunga This is the Botanic Name:Amaranthus sp
    3
  • Shammy Dacute Admin leo boss wako atakufukuza kazi cha kwanza umedhalilisha wanaume la pili unatusumbua wakati unajua wengine tulienda kula mapera tuu shule
    2
  • Selemani Kulupila Wengine wanakwepa mada humu ndani wanaongelea mambo mengine, mada ni mchicha kw kiingereza unaitwaje ? au mulikimbia umande ?
  • Resty John Mi huwa najiuliza admin naulizia swali la mchicha nini kwa kiingeleza,lkn mtu anajibu kingine tofauti mfano et "hakuna mtu mwenye mbio dunian kama yule mtu alotoka kupaka meka up ghafla akaona mvua inakuja"😂😂😂pale ndo ninapopata nguvu yakuingia chama cha wasoma comment@ .....
  • Puffadder Rhymes "amarantas spishi" kwa wale tulio soma east African weeds kwa "sayantifiki nems" Clemence Moshi Florian Tairompoooo?
    1
  • Moses Dickson Mwashambwa Huku mtaani kupata mchicha uliosimama namna hiyo ni adimu sana...
  • Mosestica Mandelae Di Mangeni Bangi ya nguruwe hio, Hii ni ile nguruwe akikosea akule, huwezi msongea, anaget high tu zii!!
  • Omar Aboubakar Kind of veggies but it's spinach
  • Salehe Mapua Ukimuhitaji msichana kimauhusiano alafu ukasikia pepo chafu likuondoke ujue umefeli
  • Frolence Rwechungura Amaranth plant, be clear and specific.
    1
  • Rajabu Salumu Ngoja nitesti kwaza mana kipindii kileeee da tuliesoma vijijin wanajuwa mwalimu wa #Kingereza akiingia tu wengine tunatoka njee hahahah mchicha kwa kingereza unaitwa Mnavu au?
    1
  • Joseph Mosses We can discuss first the THEORY of NAMING what is stated before asking that question ?
  • Tabørà Bøy katka Maadmin wote huyu ndo hana akili kabisa mamaee mm mwenyew sjui😂😂😂
    2
  • Charles Palalu Amaranthus
    1
  • Van Dame Marasta Mchina in English it called Waluguru
    3
  • Mams Stephanie kisungu tuliachia caro wa tuskys
    1
  • Fredic Jephter Huku kwetu hatuuiti unaletwaga na mama muuza mboga mboga kila siku asubuhi🙌
    1
  • Welman Adam African spinach
    1
  • Ogfire Whiteman Mchicha hauitwi lazima umuite muuza mchicha ndo anakuja
    1
  • Muhadz Bambosh Sasa Tanzania na kizungu ni wapi na wapi😂
    1
  • Casian Kajivo Hawa jamaa wanaopigwa tano leo wanacheza
    1
  • Innocent Charles Wale watandika makofi remoti natambua uwepo wenu. Itifaki imezingatiwa.🙏
    1

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!