Tanzania yafuzu Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2019 zitakazofanyika nchini Misri mwezi Juni mwaka huu. #AFCON2019
Ni baada ya kuichapa Uganda mabao 3-0 na kumaliza kushika nafasi ya pili kwenye kundi L, ikifikisha pointi 8 nyuma ya vinara Uganda wenye pointi 13.
FT: Tanzania 3-0 Uganda
No comments:
Post a Comment