Thursday 7 March 2019

Am speechless.

Leo March 7, 2019 Taarifa iliyotufikia muda huu ni kwamba Mtangazaji wa Clouds FM Ephraim Kibonde amefariki dunia,
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza amethibitisha kwamba Kibonde amefariki akiwa Mwanza, alianza kusumbuliwa na Presha toka Bukoba kwenye msiba wa Ruge Mutahaba na kuhamishiwa Mwanza.
MILLARDAYO:COM

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!