Tuesday, 26 February 2019

Ruge Mutahaba 1970 - 2019. Asante kwa yote


Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group Ltd. Ruge Mutahaba amefariki Dunia jioni ya leo nchini Afrika Kusini. 
Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahala pema peponi... 
Poleni sana familia ya Ruge Mutahaba 

SISI NI WA MUNGU 
NA KWAKE TUTAREJEA

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!