Saturday, 23 February 2019

Mwanamuziki R. Kelly (52) akijisalimisha Polisi


Mwanamuziki R. Kelly (52) akijisalimisha jana usiku kwa Polisi wa Chicago, R. Kelly anashtakiwa kwa kosa la kuwanyanyasa kingono Wanawake 10 wakiwemo mabinti wa umri mdogo

Mwanamuziki R Kelly ajipeleka polisi Jana usiku baada ya kushtakiwa kwa makosa 10 ya uzalilishwa wa kijinsia wa watoto walio chini ya miaka 18 ,polisi wamedai kesi inahusisha waathirika wanne wanaomshtaki R.Kelly ,lakini bila ushahidi alisema polisi . R.Kelly Leo amepangiwa aje kusikiliza dhamana yake,ambapo Mwezi ujao tarehe 8 ndio atapanda mahakamani. Inasemekana kama atapatikana na hata basi atahukumiwa kifungo cha miaka 70 jela kulingana na kosa lake. Wiki iliyopita, ilipatikana kanda ya video ikimuonesha R.Kelly akifanya mapenzi na mtoto wa kike inayesemekana kwa kumuangalia mwili wake alikuwa na miaka 14 baada ya wakili Michael Avenatti kuletewa kanda ya video na vyanzo vilivyo karibu na kituo cha CNN

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!