Wednesday, 23 January 2019
Shishi baby! Nyumba yangu imejengwa na muziki pamoja na kampeni za kumnadi Rais Magufuli
"Nyumba yangu imejengwa na muziki pamoja na kampeni za kumnadi Rais Magufuli, maana tulikuwa tunalipwa na tulilipwa pesa nyingi ndipo niliamua kuwekeza kwenye nyumba yangu. Mimi ni mnyamwezi nimetoka Tabora kuja mjini kutafuta sijaja kuangalia maghorofa ya Dar, nilivyopata ile hela tu nikasema naenda kununua kiwanja moja kwa moja lakini wapo walionunua magari". - Shilole
Neno moja kwa Shilolet
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment