Wednesday, 12 December 2018

Imenihuzunisha!


Huyu Kaka wa Rajab ni mzima kweli? Mdogo wake anateketea yeye anaongea ujinga, huyu Dada wa watu anajitolea kumsaidia Rajab mpaka akatibiwe, mpaka sasa ni michango mingi tu imechangwa mamilioni ya pesa kupitia huyu dada, mbai ya hayo anamsaidia mgojwa kama ndugu yake wa damu,yuko hapo masaa yote kumuosha, kumlisha na kumfariji, sasa huyu kaka wa Rajab anaroho gani jamani? Mtu baki kajitolea kusaidia unaanza kuleta ushenzi wa kiasi hicho! Yaani imeniuma haswa Pole sana dada Flora.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!