Jimboni Kivu Kaskazini nchini Congo tukio la kuaga miili ya walinda amani saba wa Umoja wa Mataifa waliouwa wakati wa makabiliano na waasi wa kikundi cha ADF. Mlinda amani (1) anatoka Tanzania🇹🇿 na (6) wanatoka Malawi🇲🇼
PICHA: Monusco/Allain Coulibaly
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment