Tuesday, 27 November 2018
Alawitiwa na wanaume wenzake 6 hadi kupoteza fahamu kwa muda wa siku mbili
Kijana Edward Msebo (28) mkazi wa Kimara baruti amekutwa na mkasa wa kulawitiwa na wanaume wenzake 6 hadi kupoteza fahamu kwa muda wa siku mbili
Chanzo kinaeleza kua kijana huyu alikua anajihusisha kimapenzi na mke wa mfanyabiashara aliefahamika kwa jina la ELIAS LEMA.
Bw. Elias Lema alipofikishwa kituo cha polisi alieleza kua alifumania SMS za mke wake kupitia Application ya simu inayoitwa GETMACK, Application ambayo anaeleza aliipata PLAYSTORE na kudownload katika simu yake.
Baada ya kudownload hiyo Application ya GETMACK kwenye simu yake ndipo akaunganisha namba ya simu ya mke wake kwenye hii Application na kuanza kufuatilia mawasiliano ya mke wake kupitia hiyo Application ya GETMACK pasipo mke wake kujua kama mumewe anamfuatilia kupitia Application hiyo ya GETMACK inayopatikana PLAYSTORE, ndipo akaanza kukamata mawasiliano ya sms za mke wake na kugundua kua kijana Edward anamahusiano ya kimapenzi na mke wake.
Bw. Elias Lema alifanikiwa kuipata namba ya simu ya huyu kijana Edward Msebo kupitia hiyo Application ndipo akakodi wanaume 6 na kuweka mtego hadi kumnasa kijana Edward Msebo na kufanikiwa kumlawiti kijana huyu na kumpa onyo aachane na mke wake.
Lakini pamoja kulawitiwa na kuonywa kijana Edward Msebo aachane na mke wa Bw. Elias Lema kijana Edward Msebo hakuelewa na aliendelea kua na mahusiano na mke wa Bw. Elias Lema ndipo Bw. Elias Lema alikodi tena vijana 6 na kumlawiti kijana Edward kwa mara nyingine hadi kupoteza fahamu kwa muda wa siku2.
Taarifa Zinasema kijana Edward Msebo Hali yake ni mbaya sana na amelazwa katika Hospital ya MUHIMBILI jijini Dar es salaam.
BBC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment