Wednesday, 10 October 2018

Irene Uwoya-"Sijawahi kusikia kuna ugonjwa wa mapenzi.



"Sijawahi kusikia kuna ugonjwa wa mapenzi. Kwa hiyo ina maana mimi huwa ninawatesa watu? Mimi huwa siteswi? Maana kila mtu Uwoya… Uwoya…ina maana kila ishu ya mapenzi mimi ndiye huwa natesa watu? Kwa hiyo mimi ni tesatesa au chinjachinja wa mapenzi?”. - Irene Uwoya

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!