Saturday, 18 August 2018

RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI DADA YAKE ALIYELAZWA KATIKA HOSPITALI YA BUGANDO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Dada yake Monica Joseph Magufuli ambaye amelazwa katika Chumba cha uangalizi Maalum ICU katika hospitali ya Bugando mkoani Mwanza. 
Picha na Ikulu

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!