skip to main |
skip to sidebar
Ni Unyama gani huu?
Mtoto wa miaka mitatu anusurika kifo baada ya kutupwa kichakani huku akiwa amefungwa kamba mikononi, miguuni na shingoni na kuwekwa ndani ya mfuko ya sandarusi katika kijiji cha Nyabilezi mkoani Geita.
1 comment:
I am a newcomer to your blog. However, I do like your articles so far and your style of writing is quite adorable. I also blog about different things. You can check one of my works over here.
Post a Comment