Monday, 23 July 2018
Waziri Lugola
"Kuanzia sasa ajali yoyote itakayotokea ikabainika sababu ni ubovu wa gari, dereva wa gari hilo na mmiliki wake bila kujali nafasi, cheo chake wala pesa zake, wote watakamatwa na kupelekwa mahabusu kisha kufikishwa Mahakamani na ikitokea dereva yoyote amefikishwa Mahakamani bila ya kulazwa mahabusu huyo aliyemfikisha Mahakamani atawajibika yeye" - Waziri Lugola
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment