skip to main |
skip to sidebar
Ufaransa yatwaa kombe la dunia 2018
Timu ya Taifa ya Ufaransa imefanikiwa kutwaa Kombe la Dunia kwa mwaka 2018. Imefunga magoli manne dhidi ya Timu ya taifa ya Croatia, iiyofanikiwa kufunga mabao mawili.
Hii ni mara ya pili kwa Ufaransa kutwaa kombe hilo, mara ya kwanza ni mwaka 1998.
No comments:
Post a Comment