![Image may contain: one or more people, ocean, water, outdoor and nature](https://scontent.farn2-1.fna.fbcdn.net/v/t1.0-9/10336705_821172644613398_8014110181857232011_n.jpg?_nc_cat=0&oh=a33e56c988bcac16a1662aa9a16f953b&oe=5B8CB9BA)
Mchungaji Frank Kabele (35) kutoka Nigeria, asombwa na maji baharini na kufariki alipojaribu kutembea juu ya maji kama Yesu.
- Aliwaambia waumini wake kuwa mtu mwenye imani anaweza kufanya miujiza yeyote ila tu uwe na imani, ilikuwa vigumu kwa waumini wake kumsaidia kwani maji yalikuwa na nguvu nyingi na kufariki dunia.
No comments:
Post a Comment