Meghan Markle baada ya kuolewa na mjukuu wa Queen Elizabeth, haruhusiwi kuwa na acount za mitandao ya kijami, kulala kabla ya malkia, kusafiri bila nguo nyeusi ya msiba, kupiga selfie na kuendelea na kazi yake ya uigizaji.
Je, wewe ungekubali kuacha yale uliyoyazoea ili kuoa/kuolewa na mwana mfalme!? Toa maoni
No comments:
Post a Comment