Monday, 28 May 2018
Kijana mhamiaji amuokoa mtoto wa Miaka minne asianguke toka ghorofani
Kijana Mhamiaji toka nchi ya Mali Mamoudou Gassama (22) ameibuka shujaa na kupewa jina la 'Black Spiderman', amealikwa Ikulu ya Ufaransa na Rais Emmanuel Macron na kupewa uraia na kazi kitengo cha zimamoto baada ya kupanda kwa mikono chini ya dakika moja hadi ghorofa ya 4 na kumuokoa mtoto wa miaka minne asianguke
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment