Sunday, 4 March 2018
"Zimwi likujualo halikuli likakwisha" Wema Sepetu kufanya kazi Wasafi TV
Mlimbwende maarufu nchini Tanzania, Wema Sepetu amethibitisha taarifa kuwa hivi karibuni Diamond atakuwa bosi wake kwani amekwishamaliza taratibu za kuajiriwa na Wasafi TV.
"Kwanza naomba ieleweke kwamba hakuna jambo lolote linaloendelea kati yangu na Diamond - 'we are just friends.' Hata hivyo napenda kuweka wazi kuwa hivi karibuni Diamond atakuwa bosi wangu kwani nitakuwa nafanya kipindinWasafi TV," amenukuliwa akisema Wema.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment