Saturday, 3 March 2018
Vita isikie kwa mwenzio!
Dunia imeamka na picha hii ya kusikitisha ya mtoto mwenye umri wa miaka 4 ambaye anatoka Syria hadi Jordan. Timu ya UNHCR imekumbana naye wakati akitembea peke yake jangwani kutoka Syria hadi Jordan. Kitu pekee alichokuwa nacho katika mfuko wake wa karatasi ilikuwa mavazi ya mama na dada yake, ambao waliuawa Syria.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment