Saturday, 3 March 2018

Mbeya: Wakorea weusi 48 wakamatwa na Polisi kwa kujihusisha na vitendo vya kuua, na kuiba vitu mbalimbali

[​IMG]
Kundi la vijana 48 wanaodaiwa kufanya uharifu mkoani Mbeya maarufu kama wakorea weusi wamekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kupiga, kuua na kuibia watu vitu mbalimbali.

[​IMG][​IMG]

Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Mohamed Mpinga amewaambia waandishi wa habari Ofisini kwake leo, Jumamosi kuwa watuhumiwa hao bado wanaendelea kuhojiwa.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!