Sunday, 11 February 2018

MICHEZO: Simba yairarua Gendarmerie

Image may contain: 4 people, people playing sports and outdoor
Timu ya soka ya Simba imeirarua Gendarmerie kutoka Djibouti kwa bao nne bila majibu kwenye mchezo wa kombe la shirikisho Afrika, uwanja wa Taifa, Dar.
-Matokeo hayo yanaiweka Simba katika nafasi nzuri ya kufuzu Hatua inayofata.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!