Friday, 9 February 2018

MARAIS WA 5 NA BILL GATES KUHUDHURIA HARUSI YA MTOTO WA DANGOTE


Fatima Dangote ambaye ni mtoto wa mfanyabiashara tajiri na maarufu Nigeria Aliko Dangote anatarajia kufunga ndoa mwezi March na mtoto wa Inspekta generali mstaafu wa Nigeria ambaye ni Jamil Dikko Abubakar.


Fatma Dangote na Jamil Abubakar

Sherehe ya harusi hiyo inatarajiwa kuwa ni moja kati ya harusi kubwa nchini Nigeria ambapo itahudhuriwa na Marais watano ambao wamethibitisha kuhudhuria akiwemo na tajiri wa kwanza duniani Bill Gates ambaye atahudhuria harusi hiyo.
Kutokana na mipango ya sherehe ya harusi hiyo itakayofanyika mwezi March na kutarajia kuhudhuriwa na watu wengi maarufu wameamua kuiita “Mother of all weddings”.

KWA HISANI YA HABARIKA BLOG

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!