Monday, 19 February 2018

Familia ilivyopona kuunguzwa kwa moto




PICHA HII HAIHUSIANI NA HABARI HII.
Familia ilivyopona kuunguzwa kwa moto
FAMILIA ya mkazi mmoja wa Mwangata Msikitini katika Manispaa ya Iringa jana ilinusurika kuteketea kwa moto baada ya majirani kuwaokoa kwa kufumua dirisha la nyuma ya nyumba yao.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!