Ameandika Joyce Kiria kwenye ukurasa wake wa Instagram..
👇
![](https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/f4f/1/16/1f447.png)
Sikutegemea kama ipo siku kwa mkono wako ungeunyanya KUNIPIGA @kilewo2020mwanga
ðŸ˜
ðŸ˜
ðŸ˜
😠*
Ukasahau kabisa! Ukasahau yooooote.. nimeharibu career yangu kupigania ndoto yako kwa kugawa watu wangu kwenye biashara zangu, nimepoteza ndugu jamaa na marafiki, umeniachia nimebeba mzigo wa familia kwa muda wote... Malipo yako ni KUNIPIGA/ KUNIDHALILISHA/ KUNITOA MACHOZI
ðŸ˜
ðŸ˜
ðŸ˜
![](https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/f40/1/16/1f62d.png)

Umenipiga kwa sababu Mimi Ni MNYONGE siyo! SINA NGUVU, kwa sababu ni MWANAMKE Sina nguvu za kupigana na MWANAUME ... Umeniumiza mwili wangu unauma kila mahali umefiria damu na kichwa ukanigongesha kwenye gari, ili iweje? Nia yako ilikuwa ninini? kuniua??? Mungu amenipigania...
*
Haya MACHOZI yangu namlilia Mungu wangu aliye juu, yeye ndo ataamua...
![](https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/f40/1/16/1f62d.png)
![](https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/f40/1/16/1f62d.png)
![](https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/f40/1/16/1f62d.png)
![](https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/f40/1/16/1f62d.png)
![](https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/f40/1/16/1f62d.png)
![](https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/f40/1/16/1f62d.png)
No comments:
Post a Comment